Saturday, July 16, 2016

Humuhimu wa subira

Hakika Mwenyezi Mungu ametuambia wajw wake tuwe na subra,hivyo ndugu yangu tambua kuwa subira inakuepusha na mambo mengi kama vile ugomvi,tabia chafu kama wizi na uporaji kwa maana subira inakufanya ungojee kwa Mola wako.

No comments:

Post a Comment