Saturday, July 16, 2016

Al-maut



Ndugu zangu tuogope mauti kama tunavyoogopa maradhi ya dunia.Mimi na wewe tujiandae kutembelewa na kifo,ni vipi kujiandaa ,ni kufuata yale yote Mwenyezi Mungu aliyotuamlisha na kuacha yote aliyokataza.

2 comments: